Karibu to the screening of MKWAWA film,
A historical docudrama about Chief Mkwawa who was an African hero. A great military strategist, who fought and won a historical battle against the German colonizers in Lugalo in 1891.
Q and A session and networking with cast and crew
Free entrance
************************************************
Karibu kwenye onesho la filamu ya MKWAWA
Filamu inayoongelea maisha ya Chifu Mkwawa shujaa wa mashujaa ambaye alipigana vita dhidi ya Mkoloni wa Kijerumani -Lugalo mwaka 1891.
Kutakuwa na muda wa maswali na majibu kwa mtayarishaji
Hakuna Kiingilio
Part of Film Club @CDEA